Taarifa kwa vyombo vya Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa MKURUGENZI WA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO KIZIMBANI DKT>SULEIMAN SHEHE MOHAMMED kuanzia leo tarehe 18 Novemba,2021