Uteuzi wa Makatibu Tawala wa Wilaya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewateua wafuatao kuwa Makatibu Tawala wa Wilaya katika Wilaya mbali mbali za Zanzibar.
1. Ndugu Said Haji Mrisho ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Mjini katika   
   Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
2. Ndugu Juma Abdalla Hamad ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Magharibi "A"
   katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
3. Ndugu Sahim Harun Haji ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Magharibi "B"
   katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
4. Ndugu Mariam Said Khamis ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaskazini "A"
   katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.  
5. Ndugu Hassan Abdallah Rashid ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaskazini
   "B"katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
6. Ndugu Hamza Mahmoud Juma ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kati katika  
   Mkoa wa Kusini Unguja.
7  Ndugu Mbaraka Omar Kasongo ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kusini
   katika Mkoa wa Kusini Unguja.
8. Ndugu Miza Hassan Faki ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya Mkoani katika Mkoa
   wa Kusini Pemba.

Download File: