Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi mafanikio makubwa yatapatikana nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi…
Read More