Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na wananchi katika mku
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza leo tarehe 13 Oktoba 2025, Ikulu Zanzibar wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi, ukarabati na
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza leo tare
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza leo, tarehe 0
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipozungumza leo tarehe 06 O
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kwale, Mkoa wa Kaskazini Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipozungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani, yaliyofanyika katika Viwanja vya Polisi Ziwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya kumsalia Mwalimu Bi. Asha Haji Muhammad (Dada wa Sheikh Kham
Uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji wa Mfumo wa Umeme Zanzibar, hafla iliyofanyika Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na wavuvi, wachuuzi wa sa
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na wafanyabiasha
Mgombea wa Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika muendelezo wa kampeni za Chama Ch
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipozungumza tarehe 13 Septemba 2025 katika Uzinduzi wa Kampeni za Chama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipozindua Sera ya Nishati ya Zanzibar ya 2025 pamoja na Mpango Mkuu wa Umeme wa Zanzibar wa 2025–2040,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Mhe.Dkt Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 8 Septemba 2025 alipokutana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na wananchi pamoja na watumishi wa Mahakama mara baada ya kuyazindua rasmi majengo mapya ya Mahakama za
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM Zanzibar, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amerejesha fomu za uteuzi katika Tume ya Uchaguzi ya Za
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo Septemba 6, 2025, alipofungua rasmi Michezo ya Majeshi Tanzania katika Uwanja wa Mao Tse Tung, Mkoa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani, Mkoa wa Mjini Magharibi tareh
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza akifungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magh
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipoufungua Mkutano wa Saba wa Dunia wa Miji na Maeneo Salama ya Kijamii na Usalama kwa Wanawake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) ya Uchumi iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipoiaga Timu ya 34 ya Madaktari Bingwa wa Kichina pamoja na Timu ya Wataalamu wa Kudhibiti na Kukinga Maradhi
DKT.MWINYI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda alipofika Ik
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika kuadhimisha Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina nia ya kulibadilisha eneo la Dimani kua la biashara la Kimataifa na kubadili taswira halisi ya eneo hilo kuwa la mvuto wa uwekezaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Mradi wa Kituo cha kisasa wa Mabasi Kijangwani kinachojengwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Mkurugenzi Mkuu Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Martin Seychell na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe 7 D
Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameufungua Mkutano wa Mawaziri wa Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama
Maafa
Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Zanzibar amekutana na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza.
Mahafali ya Ishirini(20) ZU Tunguu
Wafanyakazi wa Afisi ya Rais Pemba wamempokea Rais wa Zanzibar
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa wafanyakazi wa Ofisi yake Ikulu Zanzibar.
Dk. Mwinyi amezindua Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini ( PDB), hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar
Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana na magonjwa ya figo hapa nchini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mheshimiwa Chariottan Ozaki Macias
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumb
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika
Mkutano wa Mhe:Rais Jumuia ya Istiqama Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Fitry
Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Qurani Tanzania.
Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba 13/04/2022
Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba
Ziara ya Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba
Mkutano na waandishi wa Habari
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria kumbikizi ya mwaka mmoja wa hayati John Pombe Magufuli uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa kwanza wa Mwaka wa Asasi za kiraia Zanzibar.
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa Kimataifa wa uwekezaji Sekta ya Maji Barani Afrika
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Maadhimisho ya siku ya wanawake Ulimwenguni.
Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Balozi wa Indinesia Nchini Tanzania
Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mfanyabiashara na mdau wa utalii Duniani Bw. Nicholas Reynolds
Ufunguzi wa Hospitali ya Kidimni Zanzibar
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia haki na uadilifu kwa kutambua dhima kubwa waliyonayo kwa Mwenyezi Mungu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Zanzibar Maishabora Foundation Bi.Mwanaidi Mohamed Ali akizunagumza na Waandishi mbali mbali kwa uzinduzi wa Taasisi hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Salum Yussuf Ali
Hotuba ya ufunguzi wasemina ya Makatibu Wakuu na watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Salam za Mhe: Mama Mariam Mwinyi
Hutuba ya Rais na Waandishi wa Habari - Jan 2022
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya mahojiano na waandishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini
Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na waandfishi wa vyombo vya Habari
Mkutano na Waandishi wa Habari tarehe 31 Januari 2022 Ikulu Zanzibar
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kurejesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kujesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua maadhimisho ya wiki ya Sheria Tanzania inayofanyika Jijini Dodoma.
Raisi Dk.Hussein Ali Mwinyi atoa Salamu za Winter Olympics 2022
© Copyright 2025 - President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar