Dkt. Mwinyi ameahidi Uwezeshaji na Ushirikishwaji zaidi kwa Watu wenye Ulemavu katika Serikali Ijayo.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali…

Read More

Dkt.Mwinyi, ameahidi kuunda Tume Maalum itakayofanya tathmini ya kina kuhusu fidia walizolipwa wananchi waliopisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya Fumba, Nyamanzi,Dimani na Bweleo.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuunda Tume Maalum…

Read More

SMZ kujenga Hospitali mbili kubwa za Rufaa Zanzibar

SMZ kujenga Hospitali mbili kubwa za Rufaa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia…

Read More

Dkt.Mwinyi ameahidi kuimarisha Sekta ya Kilimo na uzalishaji wa mwani Zanzibar

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali…

Read More

Rais Mwinyi ajumuika katika Dua Maalumu ya kuliombea Taifa na Uchaguzi Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Walimu wa Madrasa, Masheikh pamoja na Uongozi wa Afisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar katika…

Read More