Alhadj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumini wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameitaka Kamati ya Msikiti wa Masjid Taqwa kushirikiana na waumin wa mskiti huo katika utatuzi wa changamoto…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Maputo nchini Msumbiji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi za…

Read More