Dk. Hussein Mwinyi amejumuika na waislamu katika Iftari aliyoiandaa kwa ajili yao iliyofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversion centre, Jijini Dodoma,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo amejumuika na mamia ya waislamu katika Iftari aliyoiandaa kwa ajili yao na kufanyika katika Ukumbi wa Jakaya…
Read More