Uimarishaji huduma za afya uendane na upatikanaji wa dawa ambazo zimetunzwa kwenye mazingira mazuri
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua Bohari ya Dawa na kueleza kuwa uimarishaji wa huduma za afya lazima uendane na upatikanaji wa dawa ambazo…
Read More