UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Vijana wa Halaiki na wahamasishaji walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya India Shri Ram Nath Kovind kwa kuadhimisha siku ya Jamhuri ya Taifa…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya sherehe za kutimiza…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria katika kulinda amani, utulivu na maisha…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa wanafunzi kumi na tisa (19) ambao bado walikuwa wakiendelea kutumikia vyuo vya Mafunzo vya Unguja…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema jukumu la kudumisha amani na usalama wa nchi ni la wananchi wote na sio la vyombo vya ulinzi na Usalama pekee.
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wale wote wanaosingizia demokrasia na kuhakiribu kwa makusudi barabara wakiwemo vijana kuacha mara moja tabia…
Read More