Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiomba Serikali ya Marekani kusaidia juhudi za Serikali katika uzalishaji na kuliongezea thamani zao la Mwani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiomba Serikali ya Marekani kusaidia juhudi za Serikali katika uzalishaji na kuliongezea thamani zao la Mwani.Dk.…
Read More