Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Mwinyi amefungua Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika kupata matibabu wakati wa sherehe ya  ufunguzi wa Hospitali ya  Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui. 
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023, lililojengwa kupitia fedha za UVIKO-19 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kushoto )Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa fedsha za UVIKO-19, baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo 7-1-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi Ali Said akitowa maelezo ya ujenzi wa Hospitali hiyot, wakati akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kulifungua rasmin leo 7-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika  Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo aliyoifungua ambayo imejemngwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa nne kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamo wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(wa pili kushoto) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (wa tatu kulia) 07/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo wakati alipofungua Hospitali ya Wilaya  Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akisalimiana na  Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya  Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.`Rashid Hadid Rashid 07/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa tatu kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi 07/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika  Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja aliyoifungua ambayo imejemngwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa  Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla wakiwa katika Sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika ambapo wananchi wa Vijiji mbalio mbali vya Wilaya hiyo wamehudhuria katika sherehe hiyo 07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi) 07/01/2023.
  • Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutua yake baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, 07/01/2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023 lililojengwa kwa fedha za UVIKO-19 na (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi)07/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla (Mabodi) 07/01/2023.
  • MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, lililojengwa kwa Fedha za UVIKO -19, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Jengo la Ghorofa la Kisasa la Hospitali ya Wilaya ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ambalo limejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa  Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF 07/01/2023.

Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Salum Turky Zanzibar.

  • wanafunzi waliofika katika Chumba cha maktaba kujisomea vitabu mbali mbali kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Ujumbe wake (hawapo pichani) wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(kushoto) akiwepo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg.  Khamis Abdulla Said wakati mwanafunzi Abdul Aziz Sleiman Ali wa darasa la 7 alipowa karibisha katika Chumba cha Maktaba  wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi mwengine wakipata maelezo  wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Tehama wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) na Viongozi mwengine akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Khalfani Abdalla  Saidi 7 wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Sayansi wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF,hafla iliyofanyika katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine walioshuhudia,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (kulia)  06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,Viongozi wengine wakishuhudia   katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Wanafunzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-BintiAmran wakifurahia ujio Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) waliojipanga wakati wa mapokezi ya alipowasili kuifungua rasmi skuli hiyo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023

Ufunguzi wa Masjid Salim Sogea Zanzibar.

  • Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini alipoufungua rasmi leo,na kuwataka waumini hao kuutumia kwa kutatua changamoto mbali mbali zinazohusu jamii na kutatua migogoro ya kifamilia 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika  Msikiti Masjid Salim, uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini  alipoufungua rasmi leo, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuufungua  Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo.
  • Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walishuhudia Ufunguzi huo 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika ufunguzi wa Masjid Salim,Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini ,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Masjid Salim, Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Matembezi maalum ya UVCCM kuelekea kilele cha Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Kiongozi wa Matembezi, Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Pandu Salum Sungura, katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,(wa pili kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg,Rehema Sombi Omar (kushoto) 05/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Vijana wa UVCCM wakibeba Picha za Viongozi wakuu wa Kitaifa,Picha Baba wa Taifa,Mzee Karume,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Bendera wakati  wa Matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023.
  • Baadhi ya Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika uzinduzi wa  matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakinyoosha mikono juu kuunga kushangilia na kumkubali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023
  • Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnaranwa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar (wapili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi, (kulia) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) 05/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Msaidizi wa matembezi Merry Daniel Joseph kutoka Mkoa wa Mara katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) 05/01/2023.