State House Blog

UGAWAJI WA SADAKA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia)) alipokuwa akimakabidhi Bi.Saina Juma yahya (kulia) wa Donge mwenye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia)) alipokuwa akimakabidhi Bi.Saina Juma yahya (kulia) wa Donge mwenye ulemavu wa Ngozi (Albino) sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, katika hafla ya ugawaji wa kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi viwanja Mnarani Mwembekisonge.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa katika picha na Watoto wenye ulemavu wa Ngozi (Albino) mara baada ya zoezi la utoaji wa sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo viwanja Mnarani Mwembekisonge
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na makundi mbali mbali yenye mahitaji maalum katika hafla ya kuwakabidhi sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika viwanja Mnarani Mwembekisonge
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akimkabidhi Miwani Mtoto Maliha Mohamed Juma na mdogo wake Maitham Mohamed Juma wakiwa na ulemavu wa Ngozi (Albino) wakaazi wa Mombasa "B" katika hafla ya sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi leo viwanja Mnarani Mwembekisonge

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AKABIDHI MSAADA WA FUTARI KWA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA WA MAKUNDI MAALUM

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bwa.Hashim Mashaka Salim, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Hidaya Hana Mrikisisa, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Fauzia Rajab Shaban,baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe, Haroun Ali Suleiman,na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA KISOMO NA DUA YA KUMUOMBEA MAREMEMU SHEIKH ABEID AMANI KARUME LEO.

  • SHEIKH.Jaffar Abdalla Ramadhan akihitimisha kisoma cha Hitma na dua, ya kumuombea Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2023.
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume,iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-4-2023 na (kulia kwa Mufti) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj.Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Mufti Mkuu ) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa.
  • BAADHI ya Wananchi waliohudhuria kisoma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, wakiitia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) kisomo hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
  • MAMU Mkuu wa Msikiti wa kwa Mtoro Dar es Salaam Sheikh. Abass Ramadhan akitowa mawaidha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, baada ya kumalizika kwa dua na kisomo cha hitma cha kumuombea marehemu kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-4-2-23
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume iliyofanyika leo 7-4-2023,katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na ((kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEUFUNGUA JENGO LA MSJID AL -JUMAA DUNGA KIEMBENI WILAYA YA KATI UNGUJA NA KUJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA LEO

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni, baada ya kuufungua leo 7-4-2023 na kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 7-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Dunga Kiembeni Sheikh. Khamis Mabrouk Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
  • MUONEKANI wa Jengo jipya la Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni uliofunguliwa leo 7-4-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi, na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya kufungulia
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023

Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Zanzibar.

  • Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe.Shang Shisceng akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • Balozi Ali Abeid Karume kwa niamba ya Familia ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,akiweka shada la mauwa baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Philip Mpango (katikati) Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman (kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe Amani Abeid Karume(wa pili kushoto) na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe. Shang Shisceng (kushoto) wakiwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati kumuombea dua,hafla iliyofanyika Leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar.
  • Wake wa Viongozi wakiongozwa na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanziar Mama Fatma Karume(katikati) wakiwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati wa kumuombea dua,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar
  • Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • Wake wa Viongozi wakiwa katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Akinamama waliohudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • Akinamama kutoka Shehia mbali mbali za Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika kisomo cha w dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika
  • Baadhi ya Akinamama waliohudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar