Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Hussein Mwinyi amefungua Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wafadhili waliojenga Msikiti wa Kilimani Masjid Fatma Ahmad Merdas, alipowasili katika viwanja vya Msikiti huo kwa ajili ya kuufungua na kujumuika na Wananchi kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma Ahmad Merdas baada ya kuufungua rasmin leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-2-2023, na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Bw.Ahmed Baker na Bw. Ali Albwardy,Wafadhili wa ujenzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuufungua na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika baada ya ufunguzi wa Msikiti huo, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-2-2023, na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Bw.Ahmed Baker na Bw. Ali Albwardy,Wafadhili wa ujenzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja uliofunguliwa leo 10-2-2023 kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza hutuba ya Ibada ya Sala ya Ijumaa akisoma na Hatibu Sheikh. Abdallah Zuberi Maruzuku, kabla ya Sala, iliyofanyika katika Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj.Dkt. Amani Abeid Karume na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na Mfadhili wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Bw.Ali Albwardy na Naibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi

Rais wa Zanzibar Mhe.K.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw. Marcel Akpovo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake,mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw.Marcel Akpovo akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw. Marcel Akpovo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake,mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-2-2023.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Wakala wa uwezeshaji Wananchi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa nne kushoto) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mkugenzi Mtendaji wa Wakala wa Uwezeshaji wananchi Kiuchumi Zanzibar Ndg.Juma Amour (wa pili kulia)akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (hawapo pichani) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa tatu kushoto aliokaa) baada ya kujitambulisha leo walipofika Ikulu jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na ujumbe wa Benki ya Dunia Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya kumazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 8-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 8-2-2023.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Kitaifa wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Msahafu na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood, uliotafsiriwa kwa Kiswahili na Jumuiya hiyo, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania .Sheikh Tahir Mahmood, baada ya kumalizika kwa maungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh. Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Amir wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, akiwasilisha maelezo ya kazi zinazofanywa na Jumuiya hiyo, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023 na (kulia kwa Rais) Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh. Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Amir Mbashiri Mkuu wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood, alipofika Ikulu na Uongozi wake wa Kitaifa kwa ajili ya mazungumzo na kuitambulisha Jumuiya yao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 4-2-2023.