State House Blog

Swala ya Ijumaa Masjid Shifaa Mwembetanga Zanzibar

  • .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Waumini wakati wa kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, alipowasili leo kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Sheikh Abubakar wakati wa kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia iliyoomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiitikia dua iliyoomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kulia) alipojumuika na Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Ahmed Mohamed leo katika Masjid Shifaa (msikiti maiti),Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotoa nasaha zake kwa Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kasha na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar,ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed, (hawapo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed, akitowa maelezo ya Taasisi yao, wakati mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 2-2-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BARAZA LA WAZEE LA WILAYA YA KUSINI UNGUJA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kofia ya kiua na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Suleiman Mtumwa Vuai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja Bw.Suleiman Mtumwa Vuai, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Bw.Mwita Masemo Makungu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Suleiman Mtumwa Vuai, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Suleiman Mtumwa Vuai, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Suleiman Mtumwa Vuai, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania.Mhe. Andrey Avetisyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan wakati akikabidhiwa zawadi maalum ya Kasiki, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 1-2-2023 alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 1-2-2023. mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 1-2-2023. mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa kutoka nje

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa vyakula na bidhaa kutoka nje ya Nchi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MFANYABIASHARA Ndg. Abdulghafur Ismail Mohammed akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa vyakula na bidhaa kutoka nje ya Nchi , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MFANYABIASHARA Ndg.Tofiq Salim Turky akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.