Rais Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa…

Soma Zaidi

Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuchukua kila juhudi Kuhakikisha Wafanyakazi wanapata stahiki na haki zao za Msingi kwa Mujibu wa Sheria za Utumishi na kanuni ziliopo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuchukua kila juhudi Kuhakikisha Wafanyakazi wanapata stahiki na haki zao za Msingi kwa…

Soma Zaidi

Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi Serikali kuviondoa Vikwazo vyote vinavyochangia Kukwamisha Uendeshaji wa Biashara hapa nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi Serikali kuviondoa Vikwazo vyote vinavyochangia Kukwamisha Uendeshaji wa Biashara hapa nchini.Rais Dkt,Mwinyi…

Soma Zaidi

Dkt,  Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka Mfumo Madhubuti wa Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi itakayotekelezwa kupitia Fedha za Zanzibar Sukuk.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka Mfumo Madhubuti wa Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi itakayotekelezwa kupitia Fedha za…

Soma Zaidi