Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema Sera ya Uchumi wa Buluu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina dhamira njema ya kuimarisha uchumi wa nchi

Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa ndege Mkoa wa Mjini Magharibi alipozindua Duru ya kwanza ya utoaji wa vitalu kwa kampuni kwenye maeneo ya bahari kwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Serikali anayoiongoza tayari imepita lengo la Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinzi (CCM)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Serikali anayoiongoza tayari imepita lengo la Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinzi (CCM) ya kutaka zijengwe…

Read More

AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja kwa uratibu mzuri wa hafla ya futari.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja kwa uratibu mzuri wa hafla ya futari.Alhaj Dk. Mwinyi ameusifu…

Read More

MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameiasa jamii kujitahidi kukithirisha ibada ndani ya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan na kutoa sadaka kwa wingi

MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameiasa jamii kujitahidi kukithirisha ibada ndani ya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan na kutoa sadaka kwa wingi hasa kuwafikia watu wenye mahitaji…

Read More