Media

Rais Mwinyi amezindua mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi, na kuutaka Mfuko wa Hifadhi…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema ubora Elimu ya juuu ni nguzo ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa moja ya alama muhimu za maendeleo ya Taifa lolote ni ubora wa Elimu ya Juu yenye uwezo wa kuzalisha…

Read More

Alhaji Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewanasihi Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa Ujumla kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema ya Amani iliyopo Hapa nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewanasihi Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa Ujumla kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema ya Amani…

Read More