Habari

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inakusudia kujenga kiwanja chengine kikubwa cha kisasa chenye hadhi ya kimataifa, itakachotumika kwenye michuano ya AFCON, mwaka 2027

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inakusudia kujenga kiwanja chengine kikubwa cha kisasa chenye hadhi ya kimataifa, itakachotumika kwenye michuano ya AFCON, mwaka 2027.Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Uimariahaji wa Miundombinu katika Viwanja vya ndege kunalenga kuvifanya kuwa bora na kutoa huduma kulingana na vigezo vya Kimataifa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Uimariahaji wa Miundombinu katika Viwanja vya ndege kunalenga kuvifanya kuwa bora na kutoa huduma kulingana…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mambo yote anayoyatamka hadharani juu ya utekelezaji wa miradi mikubwa zaidi ya maendeleo hapa nchini sio porojo za kisiasa bali ni dhamira yake ya kweli

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mambo yote anayoyatamka hadharani juu ya utekelezaji wa miradi mikubwa zaidi ya maendeleo hapa nchini…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwa ajili ya maendeleo zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwa ajili ya maendeleo…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, Madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwaajili ya maendeleo zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, Madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwaajili ya maendeleo…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Hamid Seif Said

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Hamid Seif Said hafla iliyofanyika Ikulu, Zanzibar.Akizungumza baada ya kuapishwa…

Soma Zaidi