Dkt,  Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka Mfumo Madhubuti wa Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi itakayotekelezwa kupitia Fedha za Zanzibar Sukuk.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka Mfumo Madhubuti wa Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi itakayotekelezwa kupitia Fedha za…

Soma Zaidi

Dkt,Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya yaliofanyika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya yaliofanyika Leo.Rais Dkt,Mwinyi aliwaongoza…

Soma Zaidi

Dk, Mwinyi amewasisitiza Viongozi wa Dini, Wanasiasa na Waandishi wa Habari kutumia Majukwaa yao Kutoa Kauli nzuri zenye Kuleta Umoja ndani ya Jamii na Amani ya Nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Viongozi wa Dini, Wanasiasa na Waandishi wa Habari kutumia Majukwaa yao Kutoa Kauli nzuri zenye Kuleta…

Soma Zaidi