RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja leo 16-12-2022.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja 16-12-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya kuthamini Mchango wake katika Kupiga Vita Vitendo vya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar na Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu zilizofanyika katika ukumbi wa wa Zanzibar Beach Resort MaziziniUnguja 16-12-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja 16-12-2022.
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutubia ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu,zilizoadhimishwa leo 16-12-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, akisoma maelezo ya TUZO Maalumu ya Kuthamini Mchango wake katika Kupiga Vita Vitendo vya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar,kabla ya kumkabidhi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022 katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroun Ali Suleiman,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu,yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja 16-12-2022
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadami Duniani, zilizoadhimishwa 16-12-2022,katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja leo 16-12-2022.
WASANII wa Kikundi cha Ocean Art Zanzibar wakiingiza mchezo wa kupiga vita vitendo vya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.
Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) imepokea vifaa vya Uvuvi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa kamba na life Jacket ambavo vinaenda sambamba na boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket,ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation "ZMBF" (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano kutoka kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akibadilishana hati na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya kutiliana saini, katika hafla ya kukabidhi msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi,pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Taifa (UVCCM) Ndg.Mohamed Ali Kawaidi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa (UVCCM) kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 13-12-2022,na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bi.Rehema Sombi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-12-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-12-2022
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua rasmin studio za Wasafi-Fm Zanzibar 88.9
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond), Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Idrisa Kitwana Mustafa(kushoto), Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wapili kulia) na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe,Tabia Maulid Mwita 13/12/2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) 13/12/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)akimkabidhi cheti cha Usajili wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Mkurugenzi Mkuu Ndg,Abdul Nasib (Diamond)wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Studio hizo zilizozinduliwa Kilimani Jijini Zanzibar 13/12/2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) akiwa katika Ofisi za Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 katika uzinduzi rasmi wa Studio hizo uliofanyika Kilimani Jijini Zanzibar wakiwemo na watangazji na waandishi wa habari 13/12/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimian a na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam 13/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Kilimani Jijini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi 13/12/2022.
Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) alipokuwa akizungumza na machache wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,uliofanywa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) 13/12/2022.