Dkt, Hussein Ali Mwinyi amehitimisha Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Kisiwani Pemba na kuwasisitiza Wananchi kukichagua chama hicho ili kiendelee kuleta Maendeleo na Kuzitunza Tunu za Taifa.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amehitimisha Kqmpeni za Chama Cha…
Soma Zaidi




