Media

Rais Dkt Mwinyi amesema SMZ Itaendelea Kuimarisha Kilimo Hai Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuboresha miundombinu ya uzalishaji,…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais na kusema maridhiano ni mwanzo wa hatua mpya ya maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 22 Septemba 2026, amemuapisha Mhe. Othman Masoud Othman kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema Vijana wahamasishwe kujifunza Astronomia na Sayansi ya Anga

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa kuwahamasisha vijana kujifunza zaidi kuhusu astronomia, sayansi ya anga na teknolojia,…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amesema SMZ inathamini mchango wa Kanisa katika Maendeleo ya Jamii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali na taasisi za dini zina wajibu wa kuendelea kushirikiana katika kuimarisha amani, umoja na…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amepokea Mwaliko wa Dua Maalum ya kuliombea Taifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepokea mwaliko wa kushiriki katika dua maalum ya kuwaombea viongozi wa nchi na kuliombea Taifa kutokana…

Read More