Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. SHEIN AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa ya Kusini Unguja na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliowateua hapo jana.

Read More

Dk.Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Comoro Azali Assoumani.

Zanzibar na Comoro zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoria uliopo ambao una lengo la kuzidisha mashirikiano katika sekta za maendeleo kwa manufaa ya pande mbili hizo.Ahadi…

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi kwa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.

UJUMBE WA WAZIRI ANAESHUGHULIKIA MASHIRIKA YANAYOMILIKIWA NA SERIKALI YA INDONESIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Serikali ya Indonesia ya kuja kuekeza Zanzibar kupitia Makampuni na Mashirika yake ya Umma kutokana…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mhe. Haroun Ali Suleiman , aliyekuwa Waziri wa Kwanza wa Elimu wakati kikiazishwa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzi

DK. SHEIN AMEHUTUBIA HAFLA YA KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA SUZA TOKA KUAZISHWA KWAKE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ni matokeo ya kutafsiri kwa vitendo dhamira ya…

Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Issa Haji  Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua  Mafunzo ya Upishi na Ukarimu kwa Taasisi za Serikali na Binafsi leo ambayo yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MAPISHI NA UKARIMU ZANZIBAR.

WAZIRI wa Nchi (OR) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Issa Haji Ussi ‘Gavu’ amesema uamuzi wa Serikali wa kuwaomba washrika wa maendeleo kutoka China kufanya mafunzo ya Upishi na Ukarimu…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KATIBU MKUU WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMINISTI CHA CHINA.

JAMHURI ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo kwa kuleta wataalamu kutoka nchini humo kuja kutoa mafunzo hapa…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe wa Vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika  ukumbi wa Idris Abdulwak

UZINDUZI MPANGO SHIKIRISHI WA KUTOKOMEZA KIPINDUPINDU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alisema serikali ina wajibu wa kuwatunza na kusimamia Afya za wananchi, kwa kuhakikisha wanaondokana na maradhi mbali…

Read More