RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ramadhan Haji Faki, wakati wa hafla hiyo ya maziko yaliofanyika katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

MAZISHI YA WAZIRI KIONGOZI MSTAAFU RAMADHAN HAJI FAKI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki yaliyofanyika kijijini…

Read More

DK.SHEIN AMETEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA JENGO LA UCHUNGUZI WA MARADHI MAKUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuacha ukaidi na kufuata kikamilifu maelekezo ya Serikali, ikiwa ni hatua za kuunga mkono juhudi…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Mdogo mpya wa  India anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw.Bhagwant Singh wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo

DK.SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI MDOGO WA INDIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hatua za India za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar zina imarisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria…

Read More

DK. SHEIN AMEKUTANA NA WASANII WA ZANZIBAR.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuchukua hatua za kuimarisha sanaa na kuendeleza utamaduni kwa kuwaendeleza wasanii kwa kuwaongezea taaluma ya kuzifanikisha shughuli zao.

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAHARAKATI BIBI SITI BINT SAAD.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti bint Saad kumtangaza mwanaharakati huyo pamoja na kuzitangaza kazi zake…

Read More

Dk.Shein amezungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe:Simbachawene.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza haja kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuendelea kusimamia amani na usalama wa wananchi pamoja na mali…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya awamu ya saba imejitayarisha kikamilifu kufanikisha dhana ya uchumi wa Bahari, ikiwa ni utekelezaji…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa Gada akiwa na  Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria

DK.SHEIN AMEWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA NIGERIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Nigeria kuja kuekeza Zanzibar katika sekta yoyote wanayoitaka.

Read More