Mahafali ya nane Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),kuendelea kutoa mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia mahitaji…

Read More

Waekezaji wa Belgium wametakiwa kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Belgium nchini Tanzania Mhe. Adam Koenraad na kumueleza jinsi Serikali inavyoimarisha…

Read More

Kore yaahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya kilimo cha mpunga wa kumwagilia maji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Mhe.Chung IL, na kumueleza kuwa hatua ya nchi hiyo kuiunga…

Read More

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi yake

OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeeleza kuwa miongozo na maelekezo inayoyapata kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein imekuwa…

Read More

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais

OFISI ya Makamu wa Pili wa Rais imeeleza kuwa Dira yake kubwa ni kuwa na Serikali yenye kutoa huduma bora kwa jamii na yenye muhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein azindua sensa ya miti

WIZARA ya Kilimo na Maliasili na Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,Baraza la Mainispaa Zanzibar, Mabaraza ya miji Pemba na Hamlashauri zote za Wilaya zimetakiwa kushirikiana katika kuimarisha…

Read More

Rais azungumza na Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais

OFISI ya Makamu wa Kwanza wa Rais imemuahidi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa itashirikiana nae katika kusimamia majukumu yake kwa uadilifu na…

Read More

Wananchi waanza kufuga mazao ya baharini kwenye maeneo yao wanayoishi

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeeleza kuwa sekta ya uvuvi hivi sasa imezidi kuimarika baada ya wananchi wengi kushajiika na kuanza kufuga mazao ya baharini kwenye maeneo yao wanayoishi.Aidha, Wizara…

Read More