Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, kilichoendeshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, kilichoendeshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Read More