Makampuni ya Uholanzi yametakiwa kuwekeza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameyataka makampuni ya Uholanzi kuitumia fursa ya uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na nchi hiyo…
Read More