Mhe. Gavu ameeleza haja kwa viongozi na wafanyakazi wa Wizara kuendeleza mashirikiano ya pamoja.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi Gavu ameeleza haja kwa viongozi na wafanyakazi wa Wizara hiyo kuendeleza mashirikiano ya pamoja katika utendaji…
Read More