DK. SHEIN AMEWAAPISHA WATEULE.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hapo jana kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Read MoreWIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepongezwa kwa kufanya kazi zake vyema katika kipindi cha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuimarisha uhusiano na…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa suala la kupambana na rushwa lina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wakulima wa mwani hasa akina mama kufanya subira huku Serikali yao ikitafuta mwarobaini wa bei ya mwani ikiwa…
Read MoreRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi watambue kuwa kuna uhaba mkubwa wa mchanga hivi sasa hapa Zanzibar kutokana na uchimbaji mbaya wa…
Read MoreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kazi za ujenzi wa Bandari ya Mafuta na Gesi katika eneo la Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, zimeanza.Amesema…
Read More