Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaridhika jinsi Shirika la Kimataifa la ‘Amref Health Africa in Tanzania’ linavyotekeleza vyema miradi yake hapa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaridhika na jinsi Shirika la Kimataifa la ‘Amref Health Africa…
Read More