Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi wa Zanzibar kutumia vyema fursa ya kuwepo Skuli ya ‘Turkish Maarif Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi wa Zanzibar kutumia vyema fursa ya kuwepo Skuli ya ‘Turkish Maarif Zanzibar’ kwa kuwapeleka…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa bado kuna kazi kubwa inayohitaji kufanywa ili kuwa na wataalamu wa kutosha hasa katika utoaji wa huduma za upasuaji.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa bado kuna kazi kubwa inayohitaji kufanywa ili kuwa na wataalamu wa kutosha hasa katika utoaji wa huduma…

Read More

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele wa tatu kushoto) akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania…

Read More