Rais Dk. Mwinyi ametoa pole kufuatia upepo mkali Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za pole kwa wananchi waliopatwa na maafa kufuatia upepo mkali uliotokea huko katika vijiji vya Kendwa…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ni lazima Serikali iongeze kasi ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi na kuanzisha miradi mipya ya maji safi na salama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kwa vile maji ni uhai lazima Serikali iongeze kasi ya upatikanaji wa huduma hiyo kwa wananchi kwa kuendeleza…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Kiswahili kimekuwa ni daraja muhimu la kuimarisha uhusiano na utengamano katika maendeleo ya uchumi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Kiswahili kimekuwa ni daraja muhimu la kuimarisha uhusiano na utengamano katika maendeleo ya uchumi,…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Watanzania wataendelea kumkumbuka na kumuenzi Hayati Dk. John Pombe Magufuli

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Watanzania wataendelea kumkumbuka na kumuenzi Hayati Dk. John Pombe Magufuli kwa kuendeleza falsafa na…

Soma Zaidi