Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuzijenga barabara zote za Mji wa Zanzibar na kuziwekea taa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuzijenga barabara zote za Mji wa Zanzibar na kuziwekea taa,…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Mfanyabiashara na mdau wa Utalii Duniani Nicholas Reynolds “Bongozozo”

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Mfanyabiashara na mdau wa Utalii Duniani Nicholas Reynolds ‘ Bongozozo’ kwa juhudi zake za kuendeleza…

Read More