Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 2 Oktoba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa…

Read More

Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), yatawezesha kutambua na kutathmini mchango, maendeleo ya Umoja huo pamoja na nafasi ya wanawake.

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), yatawezesha kutambua na kutathmini mchango,…

Read More

Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo Septemba 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Charles Blair Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo Septemba 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Charles…

Read More