RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge na kutumia hotuba yake ya Bunge kutuma kile alichokiita ni onyo kwa watu wanaofanya ubadhirifu wa mali za umma na…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi katika Vikosi Maalum vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi katika Vikosi Maalum vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za…

Read More

Mama Mariam Mwinyi amesema Dini ya Uislamu amehimiza kuwatunza wazee kwa kuwafanyia wema na ihsani katika maisha yao yote.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa katika Dini ya Uislamu Mwenyezi Mungu amehimiza kuwatunza wazee kwa kuwafanyia wema na ihsani katika maisha yao yote.Mama Mariam Mwinyi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja ya kurekebishwa Sheria kandamizi ambazo zimekuwa zikiwakosesha haki zao za msingi wanawake wajane hapa…

Read More