Media

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake, akiwa katika ziara yake ya Siku mbili Pemba

DK.SHEIN AMEKUTANA NA VIONGOZI WA MIKOA YA PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu wananchi juu ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya KORONA na…

Read More

Dk.Shein amewataka Viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu Wananchi juu ya maradhi ya KORONA

Dk. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu wananchi juu ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya KORONA

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baeraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kufuatia kifo cha Waziri…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Namba 13 ya Mwaka 2012, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ramadhan Haji Faki, wakati wa hafla hiyo ya maziko yaliofanyika katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

MAZISHI YA WAZIRI KIONGOZI MSTAAFU RAMADHAN HAJI FAKI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki yaliyofanyika kijijini…

Read More

DK.SHEIN AMETEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA JENGO LA UCHUNGUZI WA MARADHI MAKUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuacha ukaidi na kufuata kikamilifu maelekezo ya Serikali, ikiwa ni hatua za kuunga mkono juhudi…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Mdogo mpya wa  India anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw.Bhagwant Singh wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo

DK.SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI MDOGO WA INDIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hatua za India za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar zina imarisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria…

Read More

DK. SHEIN AMEKUTANA NA WASANII WA ZANZIBAR.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuchukua hatua za kuimarisha sanaa na kuendeleza utamaduni kwa kuwaendeleza wasanii kwa kuwaongezea taaluma ya kuzifanikisha shughuli zao.

Read More