Alhaj Dk.Shein amewasisitiza waumini wa dini ya kiislamu kutoitumia miskiti kwa uhasama na malumbano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewasisitiza Waumini wa dini ya Kislamu kutoitumia misikiti kuwa vivutio vya kusababisha uhasama, malumbano…

Read More

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar kwa ajili ya mwezi mtukufuwa Ramadhan mwaka 1433 Hijriya2012 Miladia.

RISALA YA RAMADHANI YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK. ALI MOHAMED SHEIN, KWA MWAKA 1433 HIJRIYA, 2012 MILADIA. Ndugu Wananchi, Assalam Aleykum Warahmatullah…

Read More

AJALI YA MELI YA MV SKAGIT

TAARIFA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK. ALI MOHAMED SHEIN,KUHUSU AJALI YA MELI YA MV SKAGIT YA KAMPUNI YA SEAGUL JULAI 18, 2012

Read More

Hotuba ya Bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2012/2013 ORMBLM Zanzibar

Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa…

Read More

Kukuza Utalii,kuimarisha ushirikiano na shuhuli za maendeleo ni muhimu katika kulinda amani nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa katika kukuza sekta ya utalii na shughuli nyengine za maendeleo nchini ni muhimu kuimarisha ushirikiano…

Read More

SWEDEN imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta mbali mbali za maendeleo

Pamoja na kuwa balozi wa kuitangaza Zanzibar kiutalii kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika sekta hiyo. Dk. Shein aliyasema hayo wakati alipokuwa na mazungumzo na Balozi wa Sweden…

Read More

Taarifa kuhusu hali ya nchi kwa Waandishi wa HabariI,Wahariri na WananchiI,

Ndugu Waandishi wa Habari, Wahariri na Wananchi, Assalam Aleykum Namshukuru Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, kwa kutupa afya njema tukaweza kuzungumzia mambo yenye mustakbal mwema wa…

Read More

Zanzibar imeongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia 20 ya pato la Taifa

OFISI ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo imeeleza vipaumbele ilivyojiwekea kwa mwaka ujao wa fedha ikiwa ni pamoja na kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia…

Read More