Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi amesema hatua ya wadau wa afya kuweka kambi za matibabu Zanzibar, itasaidia kuondoa matatizo ya afya yanayowakabili wananchi
Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi amesema hatua ya wadau wa afya kuweka kambi za matibabu Zanzibar,…
Soma Zaidi