Serikali ya India imetakiwa kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameleza haja kwa Serikali ya India kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma wa kuwaleta madaktari bigwa…

Read More

Wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii, kutokana na nchi hiyo…

Read More

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Ali Mohamed Shein,amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Vuai Mwinyi Mohammed kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja.

Read More

Uholanzi itazidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii

UHOLANZI imeeleza azma ya kuzidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Zanzibar katika kuimarisha sekta ya utalii na kusisitiza kuwa tayari mashirika ya ndege kutoka nchini humo likiwemo Shirika…

Read More

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM,Mhe:Dkt.Ali Mohamed Shein,kwenye Baraza la Idd el Hajj 26 Oct2012

Bismillah Rahman Rahim Shukrani zote anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu, Subhanahu Wataala, Aliyetupa uhai na uzima tulionao tukaweza kuitikia wito wake, alioutoa tangu zama za Nabii Ibrahim (AS).…

Read More

Dk.Shein amewaapisha baadhi ya Watendaji Wakuu wa SMZ aliowateua hivi karibuni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha baadhi ya Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar aliowateua hivi karibuni.Katika hafla…

Read More

Wananchi wa kijiji cha Chwaka wamepongeza kwa kufungua ukurasa mpya wa maelewano.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na wananchi wa kijiji cha Chwaka na kuwapongeza kwa kufungua ukurasa mpya wa maelewano na kumaliza…

Read More

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,amewaapisha viongozi na watendaji wa SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi na watendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kufuatia uteuzi alioufanya hivi karibuni.

Read More