DK.SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI MDOGO WA JAMHURI YA WATU WA CHINA.

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imemuhakikishia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa Watanzania wote walioko nchini China wako salama huku nchi…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kila Idara ya serikali ina jukumu la kuhakikisha inafanya tafiti ili kuzipatia ufumbuzi changamoto mbali mbali…

Read More

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 54 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Kifungu cha 11(1) cha Sheria ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Namba 3 ya mwaka…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba 201

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema viongozi wote wa Serikali wana wajibu wa kusajili taarifa za mali na madeni kwa uwazi, ikiwa ni hatua muhimu…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa.Florens Luoga

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza jinsi alivyopokea kwa furaha taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya kuendelea kukua kwa uchumi wa Zanzibar.

Read More
RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai  ha

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kuongeza kasi katika kuitumikia Wizara hiyo kutokana…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara Katiba na Sheria katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha  Julai-Disemba2019

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kuendeleza uadilifu na usimamizi mzuri wa kazi zao hasa kwa vile Wizara…

Read More