Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kukamilika kwa diko la kisasa na soko la Samaki Malindi ni ushuhuda wa vitendo kwa Wazanzibari kuutafsiri maana halisi ya Uchumi wa Buluu, visiwani.Dk. Mwinyi aliyasema

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kukamilika kwa diko la kisasa na soko la Samaki Malindi ni ushuhuda wa vitendo kwa Wazanzibari kuutafsiri…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Afya kuweka maduka binafsi ya dawa kwenye hospitali zote za Umma ili kuwaondoshea wananchi changamoto ya kukosa dawa ndani hospitali za Serikali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Afya kuweka maduka binafsi ya dawa kwenye hospitali zote za Umma ili kuwaondoshea wananchi changamoto…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi aliwataka waumini wa dini ya kiislam kuitumia misikiti kuwa jukwaa la kuchota elimu zenye manufaa kwa jamii pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi aliwataka waumini wa dini ya kiislam kuitumia misikiti kuwa jukwaa la kuchota elimu zenye manufaa kwa jamii…

Read More