Dk. Hussein Ali Mwinyi amehudhuria kikao cha Kamati Kuu (CCM) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi.
KIKAO cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefanyika leo kikiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais…
Read More