News and Events

RAIS wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Taasisi ya “The Brent Hust Foundation” kwa kufanya utafiti unaohusu upangaji na utekelezaji wa mipango na Sera za kiuchumi Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Taasisi ya “The Brenthust Foundation” kwa kufanya kazi nzuri ya utafiti unaohusu upangaji na utekelezaji…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesisitiza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuiimarisha Sera ya Diplomasia ya Uchumi ili Zanzibar iwe na fursa zaidi katika kuimarisha Uchumi wake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuiimarisha Sera ya Diplomasia ya Uchumi…

Read More

RAIS wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na mamia ya wananchi katika mazishi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdalla Ali “Kichupa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, ameungana na mamia ya wananchi katika mazishi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa…

Read More