News and Events

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ni nchi salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya kimataifa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ni nchi salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya kimataifa.Al hajj Dk. Mwinyi ameyasema…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa mindombinu ya elimu nchini unalengo la kuboresa sekta ya elimu iliyoko kwenye mageuzi makubwa ya maendel

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa mindombinu ya elimu nchini unalengo la kuboresa sekta ya elimu iliyoko kwenye mageuzi makubwa ya…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inathamini sana mchango wa fani za Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji Zanzibar kwenye utekelezaji wa mipango mikubwa ya Maendeleo

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inathamini sana mchango wa fani za Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji Zanzibar kwenye utekelezaji wa mipango mikubwa ya Maendeleo hasa miradi ya ujenzi.Imesema…

Soma Zaidi