Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na waumini wa madhehebu mbali mbali ya dini na kusema tofauti ziliopo kati yao haziwezi kuvunja misingi ya Dini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na waumini wa madhehebu mbali mbali ya dini na kusema tofauti ziliopo…
Read More