Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kushoto) akipokea mashine itakayomuwezesha kuona data mbali mbali wakati wowote,wakati wa Uzinduzi wa  mfumo wa Ukusanyaji Kodi kwa njia ya Kielektroniki (Electronic Revenue Collection System e-RCS,uliofanyika katika viwanja vya jengo la Kituo Kikuu cha Taifa cha kuhifadhi mifumo (National Data Centre) Kijitonyama Jijini Dar es Salaam,Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) wakishuhudia.