Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.