RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Dkt.Patrice Motsepe akimkabidhi zawadi ya mpira maalum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumaliza mazung
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Dkt.Patrice Motsepe akimkabidhi zawadi ya mpira maalum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-5-2024, akiwa na Ujumbe wake