MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akimkabidhi Sadaka ya Futari Mtoto Siti Omar Shoka.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akimkabidhi Sadaka ya Futari Mtoto Siti Omar Shoka, wakati hafla ya kukabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kusini Pemba, iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makoyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba leo 18-3-2025