RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Musta Kitwana wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar sheikh. Othman Hassan Ngwali katika kaburi la Marehemu Abeid Amani Karume